Home Podcasts MSASA Podcast
MSASA Podcast

MSASA Podcast

Elisha Simon 44 Episodes Sep 27, 2026

A show where we talk to successful people about FAILURE.

Episodes

Tunatembea na Hofu ya PESA
Tunatembea na Hofu ya PESA Sep 27, 2026 3684 Send us Fan Mail Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia.Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress?Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mt
You Can Only Dream to the Level of Your Exposure
You Can Only Dream to the Level of Your Exposure Sep 13, 2026 5721 Send us Fan Mail What if you're not dreaming too small, you just haven't been exposed to enough?In this episode of MSASA, we sit down with Lwidiko Edward Mhamilawa, a trained medical doctor who moved from medicine and academia into STEAM education and social entrepreneurship, building an initiative that has spent years helping young people solve real-world problems through science, techn
You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL
You Had So Much Potential What Happened -MSASA NA BRYAN RUSSEL Aug 30, 2026 5397 Send us Fan MailPeople are at the centre of every business, but finding, developing and keeping the right people is a different game altogether.In this episode of the MSASA Podcast, Bryan Russell takes us beyond the usual HR conversation into the realities of people, business, and what it really takes to make the workplace work.From career progression and workplace culture to performance, retentio
Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY
Ujana ni Kitendawili, Tengua! - MSASA NA ALLAN LUCKY Aug 16, 2026 4761 Send us Fan MailBaada ya kuzungumzia pesa kwenye Episode 1 ya Season 2, sasa tumehamia kwa watafutaji wakuu wa hiyo pesa - vijana.Wanatafuta mkwanja. Wanatafuta kutoka. Wanatafuta kujikwamua.Lakini kwenye safari hii ya kutafuta, kujijenga na kufanikiwa, kitendawili cha kijana kufanikiwa kinatenguliwaje na nani anahusika kutengua?Kwenye Episode yetu ya pili, tuko na Allan Lucky, na anatupiga msasa
Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE
Kuwa tajiri au maskini ni maamuzi binafsi - MSASA NA JOHN GEORGE Aug 3, 2026 4457 Send us Fan MailKaribu msasani! 🎙️Leo tuko na John George, na tunazungumza kuhusu jambo ambalo kila mmoja wetu analifukuzia, PESA.Lakini je, kupata pesa ndiyo changamoto kubwa, au kuzitunza? Financial freedom ni nini hasa? Na kwa nini maamuzi madogo tunayofanya leo yanaweza kuamua maisha yetu ya baadaye?Haya ni mazungumzo kuhusu pesa, nidhamu, uwekezaji, na maamuzi yanayoweza kubadili maisha yetu
Mpishi wa pilau
Mpishi wa pilau Dec 14, 2025 4514 Send us Fan Mail
Bongo Mkononi
Bongo Mkononi Dec 13, 2025 5947 Send us Fan MailBongoflava imekuwa sauti ya kizazi - lakini ni nani aliyeianzishia safari? Karibu kwenye Msasa wa  Taji Liundi — “Master T”..
Tatizo ni kwenye kugawana %
Tatizo ni kwenye kugawana % Dec 13, 2025 4452 Send us Fan MailJe unapenda kula?Je wewe ni mnazi wa pilau?Je ukiwekewa pilau na pilau utakula pilau?Episode hii ya @Msasapodcast inanukia viungo vya pilau tamu kutoka kwa main chef @gillsaint.Humu ni nondo za jinsi gani unaweza kutobowa kwenye ulimwengu huu wa kujiajiri na kuajiriwa mtandaoni.Tufuatilie kwenye digital platfom zote @Msasapodcast , pia pilau likinoga onjesha na wenzio.😁
Baraka za Baraka
Baraka za Baraka Nov 23, 2025 4623 Send us Fan Mail
People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain
People Don’t Buy Software to Win , They Buy It to Stop the Pain Oct 26, 2025 3966 Send us Fan MailBeyond code and connectivity, it’s about people, purpose, and progress.From Tanzania to the rest of the continent, @tahajiwaji , Founder and CEO of @beem.africa is redefining how businesses communicate, grow, and build lasting relationships through technology.But “You can’t build a big business just relying on technology.”In this episode of Msasa, we go beyond the buzzwords, explor
Sina Kazi Naishi Ninavyotaka
Sina Kazi Naishi Ninavyotaka Oct 23, 2025 6102 Send us Fan MailHii version ya Msasa inaitwa “tega sikio, pesa inaongea”. Hapa stori ni jinsi gani unaweza kutumia hela kutengeneza hela  wapi, kwa namna gani, kwa kipindi gani, na ukiwa na malengo gani. Bila kusahau, kwenye kutafuta hela kuna maisha pia. Je, unastaafu vipi? Watch out new episode ya Msasa na @neema_chamy, inapatikana kwenye digital channels zote.Tafadhali share episode hii adimu k
Kuna Maisha kwenye Siasa
Kuna Maisha kwenye Siasa Oct 7, 2025 5406 Send us Fan MailMsasa wa leo umeingia na boti la mapema,  so pay attention maana kuna zawadi ya madini kutoka Thomas kibwana . Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na ubobezi wa mauzo.

Recommended