
Tikvah's Podcast
The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world.
Episodes
AI, Ibada na Kanisa: A Conversation with Pastor Delphinus Rwegasira
Send us Fan MailKatika episode hii ya Tikvah Podcast, tunakaa na Pastor Del kuzungumza kuhusu Artificial Intelligence na nafasi yake ndani ya Kanisa.Je, AI inaweza kutumika kama tool kwenye worship, teaching, na Christian content creation? Au Kanisa linapaswa kuwa makini zaidi?This conversation is about wisdom, discernment, biblical truth, and keeping Christ at the center in a fast-changing world.
AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo
Send us Fan MailKatika sehemu ya kwanza ya mfululizo wetu kuhusu AI na Ubunifu wa Injili, tunazungumza na Innocent Mwagilo — Music Producer, Songwriter na Sound Engineer.Katika mazungumzo haya tunachunguza namna Artificial Intelligence (AI) inavyoendelea kubadilisha music production na ubunifu kwa ujumla. Je, AI ni tool nyingine tu kama tulivyozoea kutumia studio software, au imeanza kuchukua nafa
Yusufu: Kivuli cha Kristo
Send us Fan MailSimulizi la Yusufu siyo tu hadithi ya kutoka gerezani kwenda ikulu. Ni picha inayotuelekeza kwa Kristo.Yusufu alikuwa mwana aliyependwa na baba yake, akakataliwa na ndugu zake, akauzwa kwa fedha, akateseka bila hatia, na hatimaye akainuliwa ili kuhifadhi uhai wa wengi.Kwa namna kubwa zaidi, yote haya yanatuelekeza kwa Yesu Kristo — Mwana mpendwa wa Baba, aliyekataliwa, aliyeteseka,
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 3
Send us Fan MailKatika Episode hii nimefanya mazungmzo na kaka yangu na mwalimu wangu Faith Joel Shimba Kuhusu namna kanisa limejikuta likibobea katika shughuli za kiroho na kusaua kuhusu Mungu
Uchambuzi wa Nyimbo-Kitabu by Paul Clement
Send us Fan MailTumejadili kuhusu live record ya wimbo wa Paul Clement Kitabu(Ajabu) wimbo unapatikana kwenye Youtube channel yake Paul Clement pamoja na Digital Platform zote, tumejadili kuhusu ubora wa utunzi ubora na ubora wa videoKaribu kusikiliza
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2
Send us Fan MailKatika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho.Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitambaa, prophetic acts, hadi “gymnastics” nyingi za kiroho , tunajiuliza: Je, hizi ni njia zinazotupeleka kwa Mungu, au zimekuwa distraction inayochukua
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?
Send us Fan MailKatika episode hii tunazungumzia tofauti kati ya kumwamini Mungu na kuamini mbinu za kiroho. Mara nyingi waamini tunajikuta tukiegemea sana maombi, kufunga, ibada, na taratibu mbalimbali za kiroho kiasi kwamba tunasahau kuwa vitu hivi vilikusudiwa kutupeleka kwa Mungu — sio kuchukua nafasi ya Mungu mwenyewe.Kupitia simulizi la Musa na mwamba, pamoja na mafundisho ya Yesu kuhusu map
Recommended

پادکست بهزاد بلور | Behzad Bolour's Podcast

The Rabbit Hole: Conspiracy Theories

The Swerve Podcast: Obscure Topics | Conspiracy Theories

The Bread and Banter Podcast

The Conspiracy Podcast

Cult of Conspiracy

Dispatches from Reality

The Conspiracy Files

TechnoSnobCast

The Young and Called Podcast .

Snoop Dogg - Flash Biográfico

Deadline: White House