
GHETTO PODCAST
Ghetto Podcast covers lifestyle and inspirational stories from hustlers in fields like music, fashion, sports, comedy, politics, and influencers. It shares the journeys and experiences of successful individuals, focusing on their struggles and how they overcame them. The show aims to motivate listeners through real-life examples of determination and hard work.
Episodes

S2.2 IBRAH MAISHA YAKE YA GHETTO MSIMAMO KUTOKA KONDE GANG ALIVYOKUTANA NA DIAMOND STUDIO
IBRAH AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA GHETTO MPAKA KUJIPATA KONDEGANG NA ALIVYOKUTANA NA DIAMOND

S2.1 VANILLA MAISHA YAKE HAYAKUWA RAHISI ALIVYOKUTANA NA ALIKIBA , MAHUSIANO YAKE YA MAPENZI
VANILLA AFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA MAHUSIANO NA JINSI ALIVYOKUTAN NA ALIKIBA NA KUFANYA NAYE KAZI

TOXIC FUVU NA MAISHA YAKE YA GHETTO, MAHUSIANO YAKE NA ABIGAIL CHAMS, KIFO NA MENGINEYO
TOXIC AFUNGUKA MENGI KUHUSU MAHUSIANO YAKE NA ABIGAIL CHAMS

S1.EP8 : GHETTO LA FRIDA AMANI ALIVYOKUTANA NA RAIS SAMIA | KUBANIWA KWENYE GAME | MAHUSIANO YAKE
This Episode is all about Frida Amani who is the presenter and at the same time she is Rapper and she is doing well at all and she also involve on the generation resoration by conserving the environment at all.

S1.EP7: MAPITO YA OBBY ALPHA KUTOKA KUENDESHA BODABODA | MANYANAYASO YA NDUGU ZAKE ,KUFUNGUA KANISA
Today on GhettoPodcast we are so blessed to have minister Obby Alpha who has blessed us with his life experience from driving a motocycle up to now he own his own car and he has plan for opening the church

S1. EP6: CON BOI ASIMULIA MAGUMU YA FAMILIA YAKE, MUZIKI WAKE NA AKITAJA KIFO MAANA YAKE
When he speak of Death he Mean What Lets Know Trough our podcast

S1. EP5 : USIYOYAJUA KUHUSU BANDO MC, UGOMVI NA BABA YAKE MZAZI, KIFO CHA BABU YAKE.
Adam Mchomvu he is the One Named Mc Bando while Adam Doesn't remember

S1.EP4 : ITAKUSHANGAZA MAISHA YA RAPCHA MSIMAMO WAKE NA BONGO RECORDS , VITA YAKE NA DIZASTA VINA
Rapcha reveals his battle with Dizasata vina through Ghetto Podcast

S1. EP3 : NDARO ALIVYOTOKA KUWA MWALIMU HADI KUINGIA KWENYE TASNIA YA UCHEKESHAJI
This is your boy john jackson with comedian Ndaro kikofia

S1.EP2 : GHETTO LA KWANZA LA KONTAWA NA UKARIBU WAKE NA HARMONIZE
This podcast explain more details from kontawa tanzanian artist with your boy John Jackson msanuaji

S1.EP1: JOL MASTER ASIMULIA MAISHA YAKE | UKARIBU WAKE NA PASTOR TONY KAPOLA
this is the first episode from ghettopodcast with your boy Msanuaji John Jackson











